Joshua 18:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpaka wake wa kaskazini ulianzia mto Yordani na kupitia kaskazini mwa Yeriko na nchi ya milima ukaelekea magharibi hadi kwenye nyika ya Beth-aveni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upande wa kaskazini, mpaka wao ulianzia pale Yordani, kupitia kaskazini mwa mteremko wa Yeriko, na kuendelea magharibi kuingia katika nchi ya vilima, ukitokea kwenye jangwa la Beth-Aveni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpaka wao upande wa kaskazini ulikuwa kutoka mto wa Yordani; kisha mpaka ukaendelea kufikilia ubavuni mwa mji wa Yeriko upande wa kaskazini, kisha ukaendelea kati ya nchi ya vilima kwa kuelekea upande wa magharibi; na matokeo yake yalikuwa hapo penye nyika ya Bethaveni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka wake wa kaskazini ulianzia mto Yordani na kupitia kaskazini mwa Yeriko na nchi ya milima ukaelekea magharibi hadi kwenye nyika ya Beth-aveni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upande wa kaskazini mpaka wao ulianzia Yordani, kupitia kaskazini ya mtelemko wa Yeriko na kuendelea magharibi kuingia katika nchi ya vilima, ukitokea kwenye jangwa la Beth-Aveni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upande wa kaskazini mpaka wao ulianzia pale Yordani, kupitia kaskazini ya mteremko wa Yeriko na kuendelea magharibi kuingia katika nchi ya vilima, ukitokea kwenye jangwa la Beth-Aveni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpaka wao upande wa kaskazini ulikuwa kutoka mto wa Yordani; kisha mpaka ukaendelea kufikia ubavuni mwa mji wa Yeriko upande wa kaskazini, kisha ukaendelea kati ya nchi ya vilima kwa kuelekea upande wa magharibi; na matokeo yake yalikuwa hapo penye nyika ya Beth-aveni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka wake wa kaskazini ulianzia mto Yordani na kupitia kaskazini mwa Yeriko na nchi ya milima ukaelekea magharibi hadi kwenye nyika ya Beth-aveni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka wao wa upande wa kaskazini ulitoka mtoni kwa Yordani, kisha mpaka ulipanda kandokando ya Yeriko upande wake wa kaskazini, tena uliendelea kupanda milimani upande wa baharini, utokee katika nyika ya Beti-Aweni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpaka wao upande wa kaskazini ulikuwa kutoka mto wa Yordani; kisha mpaka ukaendelea kufikilia ubavuni mwa mji wa Yeriko upande wa kaskazini, kisha ukaendelea kati ya nchi ya vilima kwa kuelekea upande wa magharibi; na matokeo yake yalikuwa hapo penye nyika ya Bethaveni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupaka wake wa kaskazini ulianzia kwenye muto Yordani na kupitia upande wa kaskazini wa Yeriko na inchi ya milima ukaelekea upande wa magaribi mpaka kwenye jangwa la Beti-Aweni.