Joshua 18:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ambayo hayakuwa yamegawiwa sehemu yao ya nchi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini palikuwa bado makabila saba ya Israeli ambayo yalikuwa hayajapokea urithi wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zilisalia katika wana wa Israeli kabila saba ambazo hazijagawanyiwa bado urithi wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ambayo hayakuwa yamegawiwa sehemu yao ya nchi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini palikuwa bado makabila saba ya Israeli ambayo yalikuwa hayajapokea urithi wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini palikuwa bado makabila saba ya Israeli ambayo yalikuwa hayajapokea urithi wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ya wana wa Israeli ambayo yalikuwa hayajagawiwa urithi wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yalikuwa yamebaki kati yao makabila saba ambayo hayakuwa yamegawiwa sehemu yao ya nchi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwao wana wa Isiraeli walikuwako mashina saba wasiopata bado mafungu yao ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zilisalia katika wana wa Israeli kabila saba ambazo hazijagawanyiwa bado urithi wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulikuwa kunabaki kati yao makabila saba ambayo hayakuwa yamegawanyiwa sehemu yao ya inchi.