Joshua 18:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miji ya koo za kabila la Benyamini ni Yeriko, Beth-hogla, Emek-kesisi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabila la Benyamini, kufuatana na koo zao, lilikuwa na miji ifuatayo: Yeriko, Beth-Hogla, Emeki-Kesisi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi miji ya kabila ya wana wa Benyamini kwa kuandama jamaa zao ilikuwa ni Yeriko, na Beth-hogla, na Emek-kesisi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miji ya koo za kabila la Benyamini ni Yeriko, Beth-hogla, Emek-kesisi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabila za Benyamini, ukoo kwa ukoo, zilikuwa na miji ifuatayo: Yeriko, Beth-Hogla, Emeki-Kesisi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabila ya Benyamini, ukoo kwa ukoo, ilikuwa na miji mikubwa ifuatayo: Yeriko, Beth-Hogla, Emeki-Kesisi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi miji ya kabila la wana wa Benyamini kwa kufuata jamaa zao ilikuwa ni Yeriko, na Beth-hogla, na Emek-kesisi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miji ya koo za kabila la Benyamini ni Yeriko, Beth-hogla, Emek-kesisi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji ya shina la wana wa Benyamini ya kuzigawanyia koo zao ilikuwa: Yeriko na Beti-Hogla na Emeki-Kesisi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi miji ya kabila ya wana wa Benyamini kwa kuandama jamaa zao ilikuwa ni Yeriko, na Beth-hogla, na Emek-kesisi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miji ya ukoo za kabila la Benjamina ni: Yeriko, Beti-Hogla, Emeki-Kesisi, Beti-Araba, Zemaraimu, Beteli, Awimu, Para, Ofura, Kefari-Amoni, Ofuni na Geba. Jumla ya miji kumi na miwili pamoja na vijiji vyake. Gibeoni, Rama, Beroti, Misipa, Kefira, Moza, Rekemu, Iripeli, Tarala, Zela, Ha-Elefu, Yebusi, ni kusema Yerusalema, Gibea na Kiriati-Yearimu. Jumla ya miji kumi na mine pamoja na vijiji vyake. Hiyo yote ni sehemu watu wa kabila la Benjamina na ukoo zao waliyopewa.