Joshua 18:24 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kefar-amoni, Ofni na Geba. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kefar-Amoni, Ofni, na Geba; miji kumi na mbili pamoja na vijiji vyake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Kefar-amoni, na Ofni, na Geba; miji kumi na miwili, pamoja na vijiji vyake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kefar-amoni, Ofni na Geba. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kefar-Amoni, Ofni, na Geba; miji kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kefar-Amoni, Ofni, na Geba; miji kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Kefar-amoni, na Ofni, na Geba; miji kumi na miwili, pamoja na vijiji vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kefar-amoni, Ofni na Geba. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na miwili pamoja na vijiji vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Kefari-Amoni na Ofuni na Geba; ndio miji 12 pamoja na mitaa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)