Joshua 18:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wataigawanya nchi hiyo sehemu saba. Kabila la Yuda litabaki na sehemu yake ya kusini na kabila la Yosefu kaskazini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtaigawanya hiyo nchi katika sehemu saba. Yuda atabaki katika eneo lake upande wa kusini na nyumba ya Yusufu katika nchi yake upande wa kaskazini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu hao wataigawanya nchi iwe mafungu saba; Yuda atakaa katika mpaka wake huko upande wa kusini, na nyumba ya Yusufu watakaa katika mpaka wao upande wa kaskazini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wataigawanya nchi hiyo sehemu saba. Kabila la Yuda litabaki na sehemu yake ya kusini na kabila la Yosefu kaskazini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtaigawanya hiyo nchi sehemu saba. Yuda atabaki katika nchi yake upande wa kusini na nyumba ya Yosefu katika nchi yake upande wa kaskazini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtaigawanya hiyo nchi katika sehemu saba. Yuda atabaki katika eneo lake upande wa kusini na nyumba ya Yusufu katika nchi yake upande wa kaskazini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu hao wataigawanya nchi iwe mafungu saba; Yuda atakaa katika mpaka wake huko upande wa kusini, na nyumba ya Yusufu watakaa katika mpaka wao upande wa kaskazini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wataigawanya nchi hiyo sehemu saba. Kabila la Yuda litabaki na sehemu yake ya kusini na kabila la Yosefu kaskazini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
waigawanye, itoke mafungu saba, Wayuda wakiushika mpaka wao upande wa kusini nao wa mlango wa Yosefu wakiushika wao mpaka upande wa kaskazini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu hao wataigawanya nchi iwe mafungu saba; Yuda atakaa katika mpaka wake huko upande wa kusini, na nyumba ya Yusufu watakaa katika mpaka wao upande wa kaskazini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wataigawanya inchi hiyo kwa sehemu saba. Kabila la Yuda litabaki na sehemu yake ya kusini na kabila la Yosefu kaskazini.