Joshua 19:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kura ya tatu ilizipata koo za kabila la Zebuluni. Eneo lao lilienea hadi Saridi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kura ya tatu ikaangukia kabila la Zabuloni, kufuatana na koo zao: Mpaka wa urithi wao uliendelea hadi Saridi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kura ya tatu ilitokea kwa ajili ya wana wa Zabuloni kwa kuandama jamaa zao; na mpaka wa urithi wao ulifikilia hata Saridi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kura ya tatu ilizipata koo za kabila la Zebuluni. Eneo lao lilienea hadi Saridi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nayo kura ya tatu ikaangukia kabila la Zabuloni, ukoo kwa ukoo: Mpaka wa urithi wao uliendelea hadi Saridi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kura ya tatu ikaangukia kabila la Zabuloni, ukoo kwa ukoo: Mpaka wa urithi wao uliendelea hadi Saridi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha sehemu ya tatu ilitokea kwa ajili ya wana wa Zabuloni kwa kufuata jamaa zao; na mpaka wa urithi wao ulifikia hadi Saridi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kura ya tatu ilizipata koo za kabila la Zebuluni. Eneo lao lilienea hadi Saridi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kura ya tatu iliyotokea ilikuwa ya wana wa Zebuluni ya kuzigawanyia koo zao, nao mpaka wa fungu lao ulifika hata Saridi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kura ya tatu ilitokea kwa ajili ya wana wa Zabuloni kwa kuandama jamaa zao; na mpaka wa urithi wao ulifikilia hata Saridi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kura ya tatu ilizipata ukoo za kabila la Zebuluni. Eneo lao lilienea mpaka Saridi.