Joshua 19:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka huko mpaka wake ulikwenda magharibi hadi Mareali, ukapitia pembeni mwa Dabeshethi na kwenda kwenye kijito kilichoko mashariki ya Yokneamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuelekea upande wa magharibi ukafika Marala, ukagusa Dabeshethi, na kuendelea hadi kwenye bonde karibu na Yokneamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha mpaka wao ukakwea kwendelea upande wa magharibi, hata kufikilia Marala, nao ukafikilia hata Dabeshethi; nao ukafikilia kijito cha maji kilicho mkabala wa Yokneamu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka huko mpaka wake ulikwenda magharibi hadi Mareali, ukapitia pembeni mwa Dabeshethi na kwenda kwenye kijito kilichoko mashariki ya Yokneamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuelekea upande wa magharibi ukafika Marala, ukagusa Dabeshethi, na kuendelea mpaka kijito cha maji karibu na Yokneamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuelekea upande wa magharibi ukafika Marala, ukagusa Dabeshethi, na kuendelea mpaka kwenye bonde karibu na Yokneamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha mpaka wao ukakwea ukaendelea upande wa magharibi, hadi kufikia Marala, nao ukafikia hadi Dabeshethi; nao ukafikia kijito cha maji kilicho mkabala wa Yokneamu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka huko mpaka wake ulikwenda magharibi hadi Mareali, ukapitia pembeni mwa Dabeshethi na kwenda kwenye kijito kilichoko mashariki ya Yokneamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka huko mpaka wao ulipanda upande wa baharini kufika Marala na kugusa Dabeseti, kisha ulikigusa kijito kile kinachopita mbele ya Yokinamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha mpaka wao ukakwea kwendelea upande wa magharibi, hata kufikilia Marala, nao ukafikilia hata Dabeshethi; nao ukafikilia kijito cha maji kilicho mkabala wa Yokneamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutokea kule mupaka wake ulikwenda upande wa magaribi hata Marali, ukapitia pembeni ya Dabeseti na kwenda kwenye kijito kinachokuwa upande wa mashariki wa Yokinamu.