Joshua 19:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Saridi, mpaka huo ulielekea mashariki hadi kwenye mpaka wa Kisloth-tabori, na kutoka huko ukapita Daberathi hadi Yafia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukageuka mashariki, kuanzia Saridi kuelekea mawio ya jua hadi kwenye nchi ya Kisiloth-Tabori, na kwenda hadi Daberathi, kupanda Yafia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha ukazunguka kutoka Saridi kwendelea upande wa mashariki kwa kuelekea maawio ya jua hata kufikilia mpaka wa Kisiloth-ubori; kisha ukatokea hata Daberathi, kisha ukakwea kwendelea Yafia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Saridi, mpaka huo ulielekea mashariki hadi kwenye mpaka wa Kisloth-tabori, na kutoka huko ukapita Daberathi hadi Yafia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukageuka mashariki kuanzia Saridi kuelekea maawio ya jua hadi kwenye nchi ya Kisiloth-Tabori na kwenda hadi Daberathi kupanda Jafia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukageuka mashariki, kuanzia Saridi kuelekea mawio ya jua hadi kwenye nchi ya Kisiloth-Tabori, na kwenda hadi Daberathi, kupanda Yafia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha ukazunguka kutoka Saridi kuendelea upande wa mashariki kwa kuelekea mawio ya jua hata kufikia mpaka wa Kisiloth-ubori; kisha ukatokea hata Daberathi, kisha ukakwea ukaendelea Yafia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Saridi, mpaka huo ulielekea mashariki hadi kwenye mpaka wa Kisloth-tabori, na kutoka huko ukapita Daberathi hadi Yafia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena toka Saridi mpaka uligeukia upande wa mashariki, ndio maawioni kwa jua, ufike kwenye mpaka wa Kisiloti-Tabori, toka huko ulifika Daberati na kupanda Yafia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha ukazunguka kutoka Saridi kwendelea upande wa mashariki kwa kuelekea maawio ya jua hata kufikilia mpaka wa Kisiloth-ubori; kisha ukatokea hata Daberathi, kisha ukakwea kwendelea Yafia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutokea Saridi, mupaka ule ulielekea mashariki hata kwenye mupaka wa Kisiloti-Tabori, na kutokea kule ukapita Daberati mpaka Yafia.