Joshua 19:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Yafia uliendelea mashariki hadi Gath-heferi, Eth-kasini, na kuendelea hadi Rimoni ambako ulipanda kuelekea Nea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha ukaendelea mashariki hadi Gath-Heferi na kufika Eth-Kasini, ukatokea Rimoni na kugeuka kuelekea Nea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kutoka hapo ukaendelea kuelekea mashariki mpaka Gath-heferi, hata kufikilia Ethkasini; kisha ukatokea huko Rimoni ufikiliao hata Nea;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Yafia uliendelea mashariki hadi Gath-heferi, Eth-kasini, na kuendelea hadi Rimoni ambako ulipanda kuelekea Nea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha ukaendelea mashariki hadi Gath-Heferi na kufika Eth-Kasini, ukatokea Rimoni na kugeuka kuelekea Nea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha ukaendelea mashariki hadi Gath-Heferi na kufika Eth-Kasini, ukatokea Rimoni na kugeuka kuelekea Nea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kutoka hapo ukaendelea kuelekea mashariki mpaka Gath-heferi, hadi kufikia Ethkasini; kisha ukatokea huko Rimoni ufikialo hadi Nea;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Yafia uliendelea mashariki hadi Gath-heferi, Eth-kasini, na kuendelea hadi Rimoni ambako ulipanda kuelekea Nea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka huko uliendelea upande wa mashariki, ndio wa maawioni, ufike Gati-Heferi na Eti-Kasini, utokee Rimoni na kufika hata Nea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kutoka hapo ukaendelea kuelekea mashariki mpaka Gath-heferi, hata kufikilia Ethkasini; kisha ukatokea huko Rimoni ufikiliao hata Nea;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutokea Yafia uliendelea upande wa mashariki hata Gati-Heferi, Eti-Kasini, na kuendelea mpaka Rimoni ambako ulipanda kuelekea Nea.