Joshua 19:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upande wa kaskazini mpaka uligeuka kuelekea Hanathoni na kuishia kwenye bonde la Yiftaheli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko mpaka ukazungukia upande wa kaskazini hadi Hanathoni na kuishia katika Bonde la Ifta-Eli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha mpaka uliizunguka nchi hiyo kwa upande wa kaskazini hata Hanathoni; kisha matokeo yake yalikuwa katika bonde la Iftaeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upande wa kaskazini mpaka uligeuka kuelekea Hanathoni na kuishia kwenye bonde la Yiftaheli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko mpaka ukazungukia upande wa kaskazini hadi Hanathoni na kuishia katika Bonde la Ifta-Eli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko mpaka ukazungukia upande wa kaskazini hadi Hanathoni na kuishia katika Bonde la Ifta-Eli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha mpaka uliizunguka nchi hiyo kwa upande wa kaskazini hadi Hanathoni; kisha mwisho wake ulikuwa katika bonde la Iftaeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upande wa kaskazini mpaka uligeuka kuelekea Hanathoni na kuishia kwenye bonde la Yiftaheli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mpaka uliuzunguka mji huu upande wa kaskazini wa Hanatoni, upate kutokea bondeni kwa Ifuta-Eli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha mpaka uliizunguka nchi hiyo kwa upande wa kaskazini hata Hanathoni; kisha matokeo yake yalikuwa katika bonde la Iftaeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upande wa kaskazini mupaka uligeuka kuelekea Hanatoni na kuishia kwenye bonde la Ifitaheli.