Joshua 19:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kura ya nne ilizipata koo za kabila la Isakari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kura ya nne ikaangukia kabila la Isakari, kufuatana na koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kura ya nne ilitokea kwa ajili ya Isakari, maana, ni kwa ajili ya wana wa Isakari kwa kuandama jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kura ya nne ilizipata koo za kabila la Isakari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kura ya nne ikamwangukia Isakari, ukoo kwa ukoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kura ya nne ikamwangukia Isakari, ukoo kwa ukoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha sehemu ya nne ilitokea kwa ajili ya Isakari, na ni kwa ajili ya wana wa Isakari kwa kufuata jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kura ya nne ilizipata koo za kabila la Isakari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kura ya nne iliyotokea ilikuwa ya wana wa Isakari ya kuzigawanyia koo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kura ya nne ilitokea kwa ajili ya Isakari, maana, ni kwa ajili ya wana wa Isakari kwa kuandama jamaa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kura ya ine ilizipata ukoo za kabila la Isakari.