Joshua 19:22 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kadhalika, mpaka wao ulifika Tabori, Shahasuma, Beth-shemeshi na kuishia kwenye mto Yordani. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na sita pamoja na vijiji vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpaka ule ukagusa Tabori, Shahasuma na Beth-Shemeshi, na ukaishia kwenye Yordani. Ilikuwa miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mpaka ukafikilia hata Tabori, na Shahasuma na Bethshemeshi; na matokeo ya mpaka wao yalikuwa katika mto wa Yordani; miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kadhalika, mpaka wao ulifika Tabori, Shahasuma, Beth-shemeshi na kuishia kwenye mto Yordani. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na sita pamoja na vijiji vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpaka ukagusa Tabori, Shahasuma na Beth-Shemeshi, na ukaishia kwenye Mto Yordani. Hii ilikuwa miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpaka ule ukagusa Tabori, Shahasuma na Beth-Shemeshi, na ukaishia kwenye Yordani. Ilikuwa miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mpaka ukafikia hadi Tabori, na Shahasuma na Beth-shemeshi; na mwisho wa mpaka wao ulikuwa katika mto wa Yordani; miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kadhalika, mpaka wao ulifika Tabori, Shahasuma, Beth-shemeshi na kuishia kwenye mto Yordani. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na sita pamoja na vijiji vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mpaka uligusa Tabori na Sahasima na Beti-Semesi, kisha mpaka wao ulitokea Yordani; miji ilikuwa 16 pamoja na mitaa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mpaka ukafikilia hata Tabori, na Shahasuma na Bethshemeshi; na matokeo ya mpaka wao yalikuwa katika mto wa Yordani; miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake.