Joshua 19:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Isakari; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, kufuatana na koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huu ndio urithi wa kabila ya wana wa Isakari kwa kuandama jamaa zao; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Isakari; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, ukoo kwa ukoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, ukoo kwa ukoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Isakari kwa kufuata jamaa zao; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Isakari; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili lilikuwa fungu la shina la wana wa Isakari la kuzigawanyia koo zao ile miji pamoja na mitaa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huu ndio urithi wa kabila ya wana wa Isakari kwa kuandama jamaa zao; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo ndiyo sehemu zilizopewa ukoo za kabila la Isakari; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.