Joshua 19:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kura ya tano ilizipata koo za kabila la Asheri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kura ya tano ikaangukia kabila la Asheri, kufuatana na koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kura ya tano ilitokea kwa ajili ya kabila ya wana wa Asheri kwa kuandama jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kura ya tano ilizipata koo za kabila la Asheri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kura ya tano iliangukia kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kura ya tano ikaangukia kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha sehemu ya tano ilitokea kwa ajili ya kabila la wana wa Asheri kwa kufuata jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kura ya tano ilizipata koo za kabila la Asheri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kura ya tano iliyotokea ilikuwa ya shina la wana wa Aseri ya kuzigawanyia koo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kura ya tano ilitokea kwa ajili ya kabila ya wana wa Asheri kwa kuandama jamaa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kura ya tano ilizipata ukoo za kabila la Aseri.