Joshua 19:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alameleki, Amadi na Mishali. Kwa upande wa magharibi mpaka uligusana na Karmeli na Shihor-libnathi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alameleki, Amadi na Mishali. Upande wa magharibi mpaka uligusa Karmeli na Shihor-Libnathi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Alameleki, na Amadi, na Mishali; nao ukafikilia hata Karmeli upande wa magharibi, tena ulifikilia hata Shihor-libnathi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alameleki, Amadi na Mishali. Kwa upande wa magharibi mpaka uligusana na Karmeli na Shihor-libnathi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alameleki, Amadi na Mishali. Upande wa magharibi mpaka uligusa Karmeli na Shihor-Libnathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alameleki, Amadi na Mishali. Upande wa magharibi mpaka uligusa Karmeli na Shihor-Libnathi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alameleki, Amadi na Mishali; nao ukafika hadi Karmeli upande wa magharibi, tena ulifikia hadi Shihor-libnathi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alameleki, Amadi na Mishali. Kwa upande wa magharibi mpaka uligusana na Karmeli na Shihor-libnathi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Alameleki na Amadi na Misali; kisha mpaka uligusa Karmeli upande wa baharini na Sihori-Libunati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Alameleki, na Amadi, na Mishali; nao ukafikilia hata Karmeli upande wa magharibi, tena ulifikilia hata Shihor-libnathi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alameleki, Amadi na Misali. Kwa upande wa magaribi mupaka uligusana na Karmeli na Sihori-Libunati.