Joshua 19:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ebroni, Rehobu, Hamoni, Kana hadi Sidoni Kuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukaendelea hadi Abdoni, Rehobu, Hamoni na Kana, na kufika Sidoni Kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Ebroni, na Rehobu, na Hamoni, na Kana, hata kufikilia Sidoni mkuu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ebroni, Rehobu, Hamoni, Kana hadi Sidoni Kuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukaendelea hadi Abdoni, Rehobu, Hamoni na Kana, na kufika Sidoni Kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukaendelea hadi Abdoni, Rehobu, Hamoni na Kana, na kufika Sidoni Kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Ebroni, Rehobu, Hamoni, Kana, hadi kufikia Sidoni Kuu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ebroni, Rehobu, Hamoni, Kana hadi Sidoni Kuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ulichukua Eburoni na Rehobu na Hamoni na Kana, uufikie ule mji mkubwa wa Sidoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Ebroni, na Rehobu, na Hamoni, na Kana, hata kufikilia Sidoni mkuu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eburoni, Rehobu, Hamoni, Kana mpaka Sidona muji mukubwa.