Joshua 19:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uma, Afeka na Rehobu. Jumla ya miji waliyopewa ni ishirini na miwili pamoja na vijiji vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uma, Afeki na Rehobu. Ilikuwa miji ishirini na mbili, pamoja na vijiji vyake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Uma pia, na Afeka, na Rehobu; miji ishirini na miwili, pamoja na vijiji vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uma, Afeka na Rehobu. Jumla ya miji waliyopewa ni ishirini na miwili pamoja na vijiji vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uma, Afeki na Rehobu. Ilikuwepo miji ishirini na miwili, pamoja na vijiji vyake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uma, Afeki na Rehobu. Ilikuwepo miji ishirini na miwili, pamoja na vijiji vyake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Uma pia, na Afeka, na Rehobu; miji ishirini na miwili, pamoja na vijiji vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uma, Afeka na Rehobu. Jumla ya miji waliyopewa ni ishirini na miwili pamoja na vijiji vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata Uma na Afeki na Rehobu ilikuwa ya huko. Miji ilikuwa 22 pamoja na mitaa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Uma pia, na Afeka, na Rehobu; miji ishirini na miwili, pamoja na vijiji vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uma, Afeki na Rehobu. Jumla ya miji waliyopewa ni makumi mbili na mbili pamoja na vijiji vyake.