Joshua 19:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu hizo ndizo zilizopewa koo za kabila la Asheri; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Asheri, kufuatana na koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huu ndio urithi wa kabila ya wana wa Asheri kwa kuandama jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu hizo ndizo zilizopewa koo za kabila la Asheri; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Asheri kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu hizo ndizo zilizopewa koo za kabila la Asheri; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili lilikuwa fungu la shina la wana wa Aseri la kuzigawanyia koo zao ile miji pamoja na mitaa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huu ndio urithi wa kabila ya wana wa Asheri kwa kuandama jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo ndiyo sehemu zilizopewa ukoo za kabila la Aseri; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.