Joshua 19:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kura ya sita ilizipata koo za kabila la Naftali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kura ya sita ikaangukia kabila la Naftali, kufuatana na koo zao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kura ya sita ikatokea kwa ajili ya wana wa Naftali, maana, ni kwa ajili ya wana wa Naftali kwa kuandama jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kura ya sita ilizipata koo za kabila la Naftali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kura ya sita iliangukia kabila la Naftali, ukoo kwa ukoo:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kura ya sita ikaangukia kabila la Naftali, ukoo kwa ukoo:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha sehemu ya sita ikatokea kwa ajili ya wana wa Naftali, maana, ni kwa ajili ya wana wa Naftali kwa kufuata jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kura ya sita ilizipata koo za kabila la Naftali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kura ya sita iliyotokea ilikuwa ya wana wa Nafutali ya kuzigawanyia koo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kura ya sita ikatokea kwa ajili ya wana wa Naftali, maana, ni kwa ajili ya wana wa Naftali kwa kuandama jamaa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kura ya sita ilizipata ukoo za kabila la Nafutali.