Joshua 19:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpaka wake ulianzia Helefu na mwaloni mwa Zaananimu, ukapita Adami-nekebu na Yabneeli hadi Lakumu na kuishia kwenye mto Yordani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpaka wao uliendelea kutoka Helefi na kwenye mwaloni ulio Saananimu, ukipitia Adami-Nekebu na Yabineeli hadi Lakumu, na kuishia katika Mto Yordani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mpaka wao ulikuwa kutoka Helefu, tokea ule mwaloni ulio katika Saananimu, na Adami-nekebu, na Yabineeli, hata kufikilia Lakumu; na matokeo yake yalikuwa katika mto wa Yordani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka wake ulianzia Helefu na mwaloni mwa Zaananimu, ukapita Adami-nekebu na Yabneeli hadi Lakumu na kuishia kwenye mto Yordani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpaka wao uliendelea kutoka Helefi na kwenye mti mkubwa ulio katika Sananimu, ukipitia Adami-Nekebu na Yabineeli hadi Lakumu na kuishia katika Mto Yordani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpaka wao uliendelea kutoka Helefi na kwenye mti mkubwa ulio katika Saananimu, ukipitia Adami-Nekebu na Yabineeli hadi Lakumu, na kuishia katika Mto Yordani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mpaka wao ulikuwa kutoka Helefu, tokea ule mwaloni ulio katika Saananimu, na Adami-nekebu, na Yabneeli, hadi kufikia Lakumu; na matokeo yake yalikuwa katika mto wa Yordani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka wake ulianzia Helefu na mwaloni mwa Zaananimu, ukapita Adami-nekebu na Yabneeli hadi Lakumu na kuishia kwenye mto Yordani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka wao ulitoka Helefu kwenye mvule wa Sananimu, ulichukua Adami-Nekebu na Yabuneli, hata Lakumu, utokee Yordani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mpaka wao ulikuwa kutoka Helefu, tokea ule mwaloni ulio katika Saananimu, na Adami-nekebu, na Yabineeli, hata kufikilia Lakumu; na matokeo yake yalikuwa katika mto wa Yordani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupaka wake ulianzia Helefi na kwenye muti wa mwalo wa Zananimu, ukapita Adami-Nekebu na Yabuneli ukafika Lakumu na kuishia kwenye muto Yordani.