Joshua 19:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kura ya saba ilizipata koo za kabila la Dani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kura ya saba ikaangukia kabila la Dani, kufuatana na koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kura ya saba ilitokea kwa ajili ya kabila ya wana wa Dani kwa kuandama jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kura ya saba ilizipata koo za kabila la Dani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kura ya saba iliangukia kabila la Dani, ukoo kwa ukoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kura ya saba ikaangukia kabila la Dani, ukoo kwa ukoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha sehemu ya saba ilitokea kwa ajili ya kabila la wana wa Dani kwa kufuata jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kura ya saba ilizipata koo za kabila la Dani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kura ya saba iliyotokea ya shina la wana wa Dani ya kuzigawanyia koo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kura ya saba ilitokea kwa ajili ya kabila ya wana wa Dani kwa kuandama jamaa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kura ya saba ilizipata ukoo za kabila la Dani.