Joshua 19:48 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Dani; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji hii na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Dani, kufuatana na koo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huu ndio urithi wa kabila ya wana wa Dani kwa kuandama jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Dani; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji hii na vijiji vyake ndio iliyokuwa urithi wa kabila la Dani, ukoo kwa ukoo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji hii na vijiji vyake ndio iliyokuwa urithi wa kabila la Dani, ukoo kwa ukoo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huu ndio urithi wa kabila la wana wa Dani kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo ndizo sehemu zilizopewa koo za kabila la Dani; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili lilikuwa fungu la shina la wana wa Dani la kuzigawanyia koo zao ile miji pamoja na mitaa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huu ndio urithi wa kabila ya wana wa Dani kwa kuandama jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo ndiyo sehemu zilizopewa ukoo za kabila la Dani; miji hiyo pamoja na vijiji vyake.