Joshua 19:50 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulingana na amri ya Mwenyezi-Mungu walimpa mji ambao aliuchagua yeye mwenyewe, yaani Timnath-sera, ambao ulikuwa katika nchi ya milima ya Efraimu. Naye Yoshua akaujenga upya mji huo na kukaa humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa ameamuru. Walimpa mji alioutaka, ambao ni Timnath-Sera ulio katika nchi ya vilima ya Efraimu. Naye akajenga mji, akakaa huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
sawasawa na ile amri ya Bwana wakampa mji alioutaka, maana, ni Timnath-sera katika nchi ya vilima ya Efraimu; naye akaujenga huo mji na kukaa mumo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulingana na amri ya Mwenyezi-Mungu walimpa mji ambao aliuchagua yeye mwenyewe, yaani Timnath-sera, ambao ulikuwa katika nchi ya milima ya Efraimu. Naye Yoshua akaujenga upya mji huo na kukaa humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama vile BWANA alivyokuwa ameamuru. Walimpa mji alioutaka, ambao ni Timnath-Sera ulio katika nchi ya vilima ya Efraimu. Naye akajenga mji, akakaa huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama vile bwana alivyokuwa ameamuru. Walimpa mji alioutaka, ambao ni Timnath-Sera ulio katika nchi ya vilima ya Efraimu. Naye akajenga mji, akakaa huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kulingana na ile amri ya BWANA wakampa mji alioutaka, maana, ni Timnath-sera katika nchi ya vilima ya Efraimu; naye akaujenga huo mji na kukaa mumo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulingana na amri ya Mwenyezi-Mungu walimpa mji ambao aliuchagua yeye mwenyewe, yaani Timnath-sera, ambao ulikuwa katika nchi ya milima ya Efraimu. Naye Yoshua akaujenga upya mji huo na kukaa humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuagizwa na Bwana wakampa huo mji, alioutaka, ndio Timunati-Sera milimani kwa Efuraimu, kisha akaujenga mji huu, akakaa humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
sawasawa na ile amri ya BWANA wakampa mji alioutaka, maana, ni Timnath-sera katika nchi ya vilima ya Efraimu; naye akaujenga huo mji na kukaa mumo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulingana na amri ya Yawe walimupa muji ambao aliuchagua yeye mwenyewe, ni kusema Timunati-Sera, ambao ulikuwa katika inchi ya milima ya Efuraimu. Naye Yoshua akaujenga upya muji ule na kukaa mule.