Joshua 19:6 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Beth-lebaothi na Sharuheni. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Beth-Lebaothi na Sharuheni; hii ilikuwa miji kumi na tatu pamoja na vijiji vyake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Bethlebaothi, na Sharuheni; miji kumi na mitatu, pamoja na vijiji vyake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Beth-lebaothi na Sharuheni. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Beth-Lebaothi na Sharuheni; hii ilikuwa miji kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Beth-Lebaothi na Sharuheni; hii ilikuwa miji kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bethlebaothi na Sharuheni; miji kumi na mitatu, pamoja na vijiji vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Beth-lebaothi na Sharuheni. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mitatu pamoja na vijiji vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Beti-Lebaoti na Saruheni; ndio miji 13 na mitaa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Bethlebaothi, na Sharuheni; miji kumi na mitatu, pamoja na vijiji vyake;