Joshua 19:7 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia kulikuwa na miji ya En-rimoni, Etheri, na Ashani. Jumla ya miji waliyopewa ni minne pamoja na vijiji vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia Aini, Rimoni, Etheri, na Ashani; hii ilikuwa miji minne na vijiji vyake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Aini, na Rimoni, na Etheri, na Ashani; miji minne, pamoja na vijiji vyake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia kulikuwa na miji ya En-rimoni, Etheri, na Ashani. Jumla ya miji waliyopewa ni minne pamoja na vijiji vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia Aini, Rimoni, Etheri, na Ashani, hii ilikuwa miji minne na vijiji vyake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia Aini, Rimoni, Etheri, na Ashani; hii ilikuwa miji minne na vijiji vyake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aini, Rimoni, Etheri na Ashani; miji minne, pamoja na vijiji vyake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia kulikuwa na miji ya En-rimoni, Etheri, na Ashani. Jumla ya miji waliyopewa ni minne pamoja na vijiji vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aini, Rimoni na Eteri na Asani, ndio miji 4 na mitaa yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Aini, na Rimoni, na Etheri, na Ashani; miji minne, pamoja na vijiji vyake;