Joshua 19:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa vile eneo lililopewa kabila la Yuda lilikuwa kubwa kuliko kabila hilo lilivyohitaji, sehemu ya eneo lake lilipewa kabila la Simeoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Urithi wa Wasimeoni ulitolewa kutoka fungu la Yuda, kwa kuwa fungu la Yuda lilikuwa kubwa kuliko walivyohitaji. Hivyo kabila la Simeoni lilipewa urithi wao ndani ya eneo la Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huo urithi wa hao wana wa Simeoni ulitoka katika fungu la wana wa Yuda; kwa maana hilo fungu la wana wa Yuda lilikuwa ni kubwa mno kwao; kwa hiyo wana wa Simeoni walikuwa na urithi katikati ya urithi wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa vile eneo lililopewa kabila la Yuda lilikuwa kubwa kuliko kabila hilo lilivyohitaji, sehemu ya eneo lake lilipewa kabila la Simeoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Urithi wa Wasimeoni ulitolewa kutoka katika fungu la Yuda, kwa kuwa fungu la Yuda lilikuwa kubwa kuliko walivyohitaji. Hivyo kabila la Simeoni lilipewa urithi wao ndani ya nchi ya Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Urithi wa Wasimeoni ulitolewa kutoka fungu la Yuda, kwa kuwa fungu la Yuda lilikuwa kubwa kuliko walivyohitaji. Hivyo kabila la Simeoni lilipewa urithi wao ndani ya eneo la Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huo urithi wa hao wana wa Simeoni ulitoka katika fungu la wana wa Yuda; kwa maana hilo fungu la wana wa Yuda lilikuwa ni kubwa mno kwao; kwa hiyo wana wa Simeoni walikuwa na urithi katikati ya urithi wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa vile eneo lililopewa kabila la Yuda lilikuwa kubwa kuliko kabila hilo lilivyohitaji, sehemu ya eneo lake lilipewa kabila la Simeoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili fungu la wana wa Simeoni lilichukuliwa katika nchi, wana wa Yuda waliyopimiwa, kwani fungu lao wana wa Yuda lilikuwa kubwa zaidi, wasilikae lote. Kwa hiyo wana wa Simeoni walipata fungu lao katikati ya fungu lao wale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huo urithi wa hao wana wa Simeoni ulitoka katika fungu la wana wa Yuda; kwa maana hilo fungu la wana wa Yuda lilikuwa ni kubwa mno kwao; kwa hiyo wana wa Simeoni walikuwa na urithi katikati ya urithi wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)