Joshua 2:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamwambia “Hakika Mwenyezi-Mungu ameitia nchi yote mikononi mwetu. Tena wakazi wa nchi hiyo wamekufa moyo kwa sababu yetu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamwambia Yoshua, “Hakika Mwenyezi Mungu ametupatia nchi yote mikononi mwetu; watu wote wanayeyuka kwa hofu kwa sababu yetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia Yoshua, Hakika Bwana ameitia nchi yote katika mikono yetu; tena zaidi ya hayo wenyeji wa nchi wanayeyuka mbele yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamwambia “Hakika Mwenyezi-Mungu ameitia nchi yote mikononi mwetu. Tena wakazi wa nchi hiyo wamekufa moyo kwa sababu yetu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwambia Yoshua, “Hakika BWANA ametupa nchi yote mikononi mwetu; watu wote wanayeyuka kwa hofu kwa sababu yetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamwambia Yoshua, “Hakika bwana ametupa nchi yote mikononi mwetu; watu wote wanayeyuka kwa hofu kwa sababu yetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia Yoshua, Hakika BWANA ameitia nchi yote katika mikono yetu; tena zaidi ya hayo wenyeji wa nchi wanayeyuka mbele yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamwambia “Hakika Mwenyezi-Mungu ameitia nchi yote mikononi mwetu. Tena wakazi wa nchi hiyo wamekufa moyo kwa sababu yetu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwambia Yosua: Kweli Bwana ameitia hiyo nchi yote mikononi mwetu, nao wenyeji wote wa nchi hiyo wameyeyuka mioyo kwa ajili yetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia Yoshua, Hakika BWANA ameitia nchi yote katika mikono yetu; tena zaidi ya hayo wenyeji wa nchi wanayeyuka mbele yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamwambia: “Hakika Yawe ameitia inchi yote katika mikono yetu. Tena wakaaji wa inchi hiyo wametetemeka kwa sababu yetu.”