Joshua 2:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa kufunga lango la mji, giza lilipoingia, hao watu waliondoka. Kule walikokwenda mimi sijui; wafuateni upesi nanyi mtawapata.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Giza lilipoingia, wakati wa kufunga lango la mji, watu hao waliondoka. Sijui walikokwenda. Wafuatilieni haraka. Huenda mkawapata.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ikawa kama wakati wa kufungwa lango la mji, kulipokuwa giza, watu wale wakatoka, wala sijui walikokwenda; wafuateni upesi, maana mtawapata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa kufunga lango la mji, giza lilipoingia, hao watu waliondoka. Kule walikokwenda mimi sijui; wafuateni upesi nanyi mtawapata.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulipoingia giza, wakati wa kufunga lango la mji, watu hao waliondoka. Sijui njia waliyoiendea. Wafuatilieni haraka. Huenda mkawapata.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulipoingia giza, wakati wa kufunga lango la mji, watu hao waliondoka. Sijui njia waliyoiendea. Wafuatilieni haraka. Huenda mkawapata.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ikawa kama wakati wa kufungwa lango la mji, kulipokuwa giza, watu wale wakatoka, wala sijui walikokwenda; wafuateni upesi, maana mtawapata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa kufunga lango la mji, giza lilipoingia, hao watu waliondoka. Kule walikokwenda mimi sijui; wafuateni upesi nanyi mtawapata.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hapo, malango yalipofungwa jioni, wale watu wakatoka, nami sikujua, wale watu walikokwenda. Wafuateni upesi kwa kupiga mbio, na mwakamate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ikawa kama wakati wa kufungwa lango la mji, kulipokuwa giza, watu wale wakatoka, wala sijui walikokwenda; wafuateni upesi, maana mtawapata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wa kufunga mulango wa muji giza lilipoingia, hao watu waliondoka. Kule walikokwenda mimi sijui; muwafuate upesi nanyi mutawapata.”