Joshua 2:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Rahabu akawaendea hao wapelelezi juu darini kabla hawajalala,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabla wale wapelelezi hawajalala, Rahabu akawaendea huko juu darini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kabla hawajalala akawaendea juu darini,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Rahabu akawaendea hao wapelelezi juu darini kabla hawajalala,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabla wale wapelelezi hawajalala, Rahabu akawaendea huko juu darini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabla wale wapelelezi hawajalala, Rahabu akawaendea huko juu darini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kabla hawajalala akawaendea juu darini,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Rahabu akawaendea hao wapelelezi juu darini kabla hawajalala,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale walipokuwa hawajalala bado, yule mwanamke akapanda darini na kufika huko, walikokuwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kabla hawajalala akawaendea juu darini,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Rahabu akawaendea hao wapelelezi juu kwenye dari mbele hawajalala,