Joshua 20:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
awaambie Waisraeli hivi: “Jichagulieni miji ambamo mtu aweza kukimbilia usalama ambayo nilimwambia Mose akueleze.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie Waisraeli, watenge miji ya kukimbilia, kama nilivyokuagiza kupitia Musa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Haya, toeni hiyo miji ya makimbilio, ambayo niliwaambia habari zake kwa mkono wa Musa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
awaambie Waisraeli hivi: “Jichagulieni miji ambamo mtu aweza kukimbilia usalama ambayo nilimwambia Mose akueleze.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie Waisraeli, watenge miji ya kukimbilia, kama nilivyokuamuru kupitia Mose,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie Waisraeli, watenge miji mikubwa ya kukimbilia, kama nilivyokuagiza kupitia Musa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Haya, toeni hiyo miji ya makimbilio, ambayo niliwaambia habari zake kwa mkono wa Musa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
awaambie Waisraeli hivi: “Jichagulieni miji ambamo mtu aweza kukimbilia usalama ambayo nilimwambia Mose akueleze.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waambie wana wa Isiraeli kwamba: Jipatieni ile miji ya kuikimbilia, niliyowaambia kinywani mwa Mose,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Haya, toeni hiyo miji ya makimbilio, ambayo niliwaambia habari zake kwa mkono wa Musa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
awaambie Waisraeli hivi: “Mujichagulie miji ambamo mutu anaweza kukimbilia usalama ambayo nilimwambia Musa akuelezee.