Joshua 20:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu yeyote akimuua mtu bila kukusudia anaweza kukimbilia katika mji mmojawapo na hivyo kumkwepa yule mtu aliye na jukumu la kulipiza kisasi cha damu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili mtu yeyote atakayemuua mtu kwa bahati mbaya na pasipo kukusudia aweze kukimbilia huko na kujiepusha na mlipiza kisasi wa damu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kwamba mwenye kuua mtu, aliyemwua mtu awaye yote pasipo kukusudia, na pasipo kujua, apate kukimbilia kuko; nayo itakuwa ni mahali pa kukimbilia kwenu, kumkimbia huyo ajilipizaye kisasi cha damu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu yeyote akimuua mtu bila kukusudia anaweza kukimbilia katika mji mmojawapo na hivyo kumkwepa yule mtu aliye na jukumu la kulipiza kisasi cha damu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili mtu ye yote atakayemwua mtu kwa bahati mbaya na pasipokukusudia aweze kukimbilia huko na kujiepusha na mlipiza kisasi cha damu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili mtu yeyote atakayemuua mtu kwa bahati mbaya na pasipo kukusudia aweze kukimbilia huko na kujiepusha na mlipiza kisasi wa damu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili kwamba mwenye kuua mtu, aliyemwua mtu yeyote pasipo kukusudia, na pasipo kujua, apate kukimbilia huko; nayo itakuwa ni mahali pa kukimbilia kwenu, kumkimbia huyo ajilipizaye kisasi cha damu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu yeyote akimuua mtu bila kukusudia anaweza kukimbilia katika mji mmojawapo na hivyo kumkwepa yule mtu aliye na jukumu la kulipiza kisasi cha damu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mwuaji apate kuikimbilia, kama hakumpiga mwenziwe na kumwua kwa kusudi wala kwa kujua, mpate kuikimbilia na kumkimbia atakayeilipiza hiyo damu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kwamba mwenye kuua mtu, aliyemwua mtu awaye yote pasipo kukusudia, na pasipo kujua, apate kukimbilia kuko; nayo itakuwa ni mahali pa kukimbilia kwenu, kumkimbia huyo ajilipizaye kisasi cha damu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote akimwua mutu bila kukusudia anaweza kukimbilia katika muji mumoja na hivyo anaweza kuepuka yule mutu anayekuwa na ruhusa ya kulipiza kisasi cha damu.