Joshua 21:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wazawa wa kuhani Aroni, waliokuwa jamaa za ukoo wa Kohathi ambaye alikuwa wa kabila la Lawi. Sehemu yao walipata kwanza kwani kura yao ilitokea kwanza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(miji hii walipewa wazao wa Haruni ambao walitokana na koo za Wakohathi wa Walawi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia):
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nayo ilikuwa kwa ajili ya wana wa Haruni, wa jamaa ya Wakohathi, waliokuwa wa wana wa Lawi; kwa kuwa kura ya kwanza ilikuwa ni yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wazawa wa kuhani Aroni, waliokuwa jamaa za ukoo wa Kohathi ambaye alikuwa wa kabila la Lawi. Sehemu yao walipata kwanza kwani kura yao ilitokea kwanza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(miji hii walipewa wazao wa Aroni ambao walitokana na koo za Wakohathi za Walawi, kwa sababu fungu la kwanza liliwaangukia):
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(miji hii walipewa wazao wa Haruni ambao walitokana na koo za Wakohathi wa Walawi, kwa sababu kura ya kwanza iliwaangukia):
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nayo ilikuwa kwa ajili ya wana wa Haruni, wa jamaa ya Wakohathi, waliokuwa wa wana wa Lawi; kwa kuwa kura ya kwanza ilikuwa ni yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wazawa wa kuhani Aroni, waliokuwa jamaa za ukoo wa Kohathi ambaye alikuwa wa kabila la Lawi. Sehemu yao walipata kwanza kwani kura yao ilitokea kwanza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Haroni walipigiwa kura ya kwanza ya koo za Kehati katika wana wa Lawi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nayo ilikuwa kwa ajili ya wana wa Haruni, wa jamaa ya Wakohathi, waliokuwa wa wana wa Lawi; kwa kuwa kura ya kwanza ilikuwa ni yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wazao wa kuhani Haruni, waliokuwa jamaa za ukoo wa Kohati ambaye alikuwa wa kabila la Lawi. Sehemu yao walipata kwanza maana kura yao ilitokea kwanza.