Joshua 21:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mashamba ya mji huo pamoja na vijiji vilivyouzunguka alikuwa amekwisha pewa Kalebu mwana wa Yefune viwe mali yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mashamba na vijiji vilivyouzunguka mji walikuwa wamempa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mashamba ya mji, na vile vijiji vyake, wakampa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mashamba ya mji huo pamoja na vijiji vilivyouzunguka alikuwa amekwisha pewa Kalebu mwana wa Yefune viwe mali yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mashamba na vijiji vilivyozunguka mji walikuwa wamempa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mashamba na vijiji vilivyozunguka mji mkubwa walikuwa wamempa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mashamba ya mji, na vile vijiji vyake, wakampa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mashamba ya mji huo pamoja na vijiji vilivyouzunguka alikuwa amekwisha pewa Kalebu mwana wa Yefune viwe mali yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mashamba yake pamoja na mitaa yake walikuwa wamempa Kalebu, mwana wa Yefune, yawe mali zake za kuzishika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mashamba ya mji, na vile vijiji vyake, wakampa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mashamba ya muji ule pamoja na vijiji vilivyouzunguka vilikuwa vimekwisha kupewa kwa Kalebu mwana wa Yefune vikuwe mali yake.