Joshua 21:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Licha ya kuwapa wazawa wa kuhani Aroni mji wa Hebroni ambao pia ulikuwa umetengwa kuwa mji wa kukimbilia usalama, waliwapa miji ya Libna pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wazao wa kuhani Haruni wakapewa Hebroni (mji mkuu wa makimbilio kwa ajili ya yeyote aliyeshtakiwa kwa mauaji), Libna,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wakawapa wana wa Haruni kuhani Hebroni pamoja na malisho yake, huo mji wa kukimbilia kwa ajili ya mwuaji, na Libna pamoja na malisho yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Licha ya kuwapa wazawa wa kuhani Aroni mji wa Hebroni ambao pia ulikuwa umetengwa kuwa mji wa kukimbilia usalama, waliwapa miji ya Libna pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wazao wa kuhani Aroni wakapewa Hebroni (mji wa makimbilio kwa ajili ya ye yote aliyeshtakiwa kwa mauaji), Libna,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wazao wa kuhani Haruni wakapewa Hebroni (mji mkuu wa makimbilio kwa ajili ya yeyote aliyeshtakiwa kwa mauaji), Libna,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wakawapa wana wa Haruni, kuhani, Hebroni pamoja na mbuga zake za malisho yake, huo mji wa kukimbilia kwa ajili ya mwuaji, na Libna pamoja na malisho yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Licha ya kuwapa wazawa wa kuhani Aroni mji wa Hebroni ambao pia ulikuwa umetengwa kuwa mji wa kukimbilia usalama, waliwapa miji ya Libna pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wana wa mtambikaji Haroni waliwapa huo mji wa Heburoni, uliokuwa wa kukimbilia wauaji, pamoja na malisho yake, tena Libuna pamoja na malisho yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wakawapa wana wa Haruni kuhani Hebroni pamoja na malisho yake, huo mji wa kukimbilia kwa ajili ya mwuaji, na Libna pamoja na malisho yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaidi ya kuwapa wazao wa kuhani Haruni muji wa Hebroni ambao vilevile ulikuwa umetengwa kuwa muji wa kukimbilia usalama, waliwapa miji ya Libuna pamoja na mbuga zake za malisho;