Joshua 21:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aini pamoja na mbuga zake za malisho, Yuta pamoja na mbuga zake za malisho na Beth-shemeshi pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji hiyo iliyo katika maeneo ya makabila hayo mawili ni tisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aini, Yuta na Beth-Shemeshi, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji tisa kutoka kwa makabila haya mawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Aini pamoja na malisho yake, na Yuta pamoja na malisho yake, na Bethshemeshi pamoja na malisho yake; miji kenda katika kabila hizo mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aini pamoja na mbuga zake za malisho, Yuta pamoja na mbuga zake za malisho na Beth-shemeshi pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji hiyo iliyo katika maeneo ya makabila hayo mawili ni tisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aini, Yuta na Beth-Shemeshi; kwa jumla ilikuwa miji tisa pamoja na sehemu zake za malisho kutoka kwa makabila haya mawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aini, Yuta na Beth-Shemeshi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji tisa kutoka kwa makabila haya mawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Aini, pamoja na mbuga zake za malisho, na Yuta pamoja na mbuga zake za malisho, na Beth-shemeshi pamoja na mbuga zake za malisho; miji tisa katika makabila hayo mawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aini pamoja na mbuga zake za malisho, Yuta pamoja na mbuga zake za malisho na Beth-shemeshi pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji hiyo iliyo katika maeneo ya makabila hayo mawili ni tisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Aini pamoja na malisho yake na Yuta pamoja na malisho yake, Beti-Semesi pamoja na malisho yake, ndio miji 9 kwa mashina haya mawili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Aini pamoja na malisho yake, na Yuta pamoja na malisho yake, na Bethshemeshi pamoja na malisho yake; miji kenda katika kabila hizo mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aini pamoja na mbuga zake za malisho, Yuta pamoja na mbuga zake za malisho na Beti-Semesi pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji hiyo inayokuwa katika maeneo ya makabila hayo mawili ni tisa.