Joshua 21:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika eneo la kabila la Benyamini walipewa miji mingine: Gibeoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka kabila la Benyamini wakawapa Gibeoni, Geba,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena katika kabila ya Benyamini, Gibeoni pamoja na malisho yake, na Geba pamoja na malisho yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika eneo la kabila la Benyamini walipewa miji mingine: Gibeoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka katika kabila la Benyamini wakawapa Gibeoni, Geba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka kabila la Benyamini wakawapa Gibeoni, Geba,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena katika kabila la Benyamini, Gibeoni pamoja na mbuga zake za malisho, na Geba pamoja na mbuga zake za malisho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika eneo la kabila la Benyamini walipewa miji mingine: Gibeoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kwa shina la Benyamini: Gibeoni pamoja na malisho yake na Geba pamoja na malisho yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena katika kabila ya Benyamini, Gibeoni pamoja na malisho yake, na Geba pamoja na malisho yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika eneo la kabila la Benjamina walipewa miji mingine: Gibeoni pamoja na mbuga zake za malisho,