Joshua 21:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anathothi pamoja na mbuga zake za malisho, Almoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anathothi na Almoni, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji minne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Anathothi pamoja na malisho yake, na Almoni pamoja na malisho yake; miji minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anathothi pamoja na mbuga zake za malisho, Almoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anathothi na Almoni; miji yote minne pamoja na sehemu zake za malisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anathothi na Almoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Anathothi pamoja na mbuga zake za malisho, na Almoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anathothi pamoja na mbuga zake za malisho, Almoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Anatoti pamoja na malisho yake na Almoni pamoja na malisho yake, ndio miji 4.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Anathothi pamoja na malisho yake, na Almoni pamoja na malisho yake; miji minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anatoti pamoja na mbuga zake za malisho, Almoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni mine.