Joshua 21:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miji yote ya wazawa wa Aroni ambao walikuwa makuhani, ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji yote waliyopewa makuhani, wazao wa Haruni, ilikuwa kumi na tatu, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miji yote ya wana wa Haruni, makuhani, ilikuwa ni miji kumi na mitatu, pamoja na malisho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miji yote ya wazawa wa Aroni ambao walikuwa makuhani, ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji yote waliyopewa makuhani, wazao wa Aroni, ilikuwa jumla kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji yote waliyopewa makuhani, wazao wa Haruni, ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miji yote ya wana wa Haruni, makuhani, ilikuwa ni miji kumi na mitatu, pamoja na mbuga zake za malisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miji yote ya wazawa wa Aroni ambao walikuwa makuhani, ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji yote ya wana wa Haroni waliokuwa watambikaji ilikuwa miji 13 pamoja na malisho yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miji yote ya wana wa Haruni, makuhani, ilikuwa ni miji kumi na mitatu, pamoja na malisho yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miji yote ya wazao wa Haruni ambao walikuwa makuhani, ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho.