Joshua 21:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakawaambia, “Mwenyezi-Mungu alimwagiza Mose tupewe miji ya kuishi na mbuga za malisho ya wanyama wetu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
huko Shilo katika Kanaani na kuwaambia, “Mwenyezi Mungu aliamuru kupitia Musa kuwa mtupe miji ya kuishi yenye maeneo ya malisho kwa mifugo yetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakanena nao hapo Shilo katika nchi ya Kanaani, wakisema, Yeye Bwana aliamuru kwa mkono wa Musa kwamba sisi tupewe miji tupate kukaa humo, pamoja na malisho yake kwa ajili ya wanyama wetu wa mifugo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakawaambia, “Mwenyezi-Mungu alimwagiza Mose tupewe miji ya kuishi na mbuga za malisho ya wanyama wetu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
huko Shilo katika Kanaani na kuwaambia, “BWANA aliagiza kupitia Mose kuwa mtupe miji ya kuishi yenye sehemu za malisho kwa ajili ya mifugo yetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
huko Shilo katika Kanaani na kuwaambia, “ bwana aliamuru kupitia Musa kuwa mtupe miji ya kuishi yenye sehemu za malisho kwa mifugo yetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakanena nao hapo Shilo katika nchi ya Kanaani, wakisema, Yeye BWANA aliamuru kwa mkono wa Musa kwamba sisi tupewe miji tupate kukaa humo, mbuga zake za malisho kwa ajili ya mifugo yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakawaambia, “Mwenyezi-Mungu alimwagiza Mose tupewe miji ya kuishi na mbuga za malisho ya wanyama wetu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakawaambia huko Silo katika nchi ya Kanaani kwamba: Bwana aliagiza kinywani mwa Mose kutupa sisi miji ya kukaa pamoja na malisho yao ya nyama wetu wa kufuga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakanena nao hapo Shilo katika nchi ya Kanaani, wakisema, Yeye BWANA aliamuru kwa mkono wa Musa kwamba sisi tupewe miji tupate kukaa humo, pamoja na malisho yake kwa ajili ya wanyama wetu wa mifugo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakawaambia: “Yawe alimwagiza Musa kwamba tupewe miji ya kuishi na mbuga za malisho ya nyama wetu.”