Joshua 21:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu waliosalia wa ukoo wa Kohathi, ambao pia ni jamaa za kabila la Lawi walipewa miji katika eneo la kabila la Efraimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Koo nyingine za Wakohathi, ambao pia ni Walawi, walipewa miji kutoka kabila la Efraimu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jamaa za wana wa Kohathi, Walawi, hao wana wengine wa Kohathi waliosalia, wao walikuwa na miji ya kura yao katika kabila ya Efraimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu waliosalia wa ukoo wa Kohathi, ambao pia ni jamaa za kabila la Lawi walipewa miji katika eneo la kabila la Efraimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Koo nyingine za Wakohathi, ambao pia ni Walawi, walipewa miji kutoka katika kabila la Efraimu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Koo nyingine za Wakohathi, ambao pia ni Walawi, walipewa miji kutoka kabila la Efraimu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jamaa za wana wa Kohathi, Walawi, hao wana wengine wa Kohathi waliosalia, wao walikuwa na miji ya kura yao katika kabila la Efraimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu waliosalia wa ukoo wa Kohathi, ambao pia ni jamaa za kabila la Lawi walipewa miji katika eneo la kabila la Efraimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo koo za wana wa Kehati waliokuwa Walawi, ndio wana wa Kehati waliosalia, walipopigiwa kura yao walipata miji kwa shina la Efuraimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jamaa za wana wa Kohathi, Walawi, hao wana wengine wa Kohathi waliosalia, wao walikuwa na miji ya kura yao katika kabila ya Efraimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waliobaki wa ukoo wa Kohati, ambao vilevile ni watu wa ukoo wa Lawi walipewa miji katika eneo la kabila la Efuraimu.