Joshua 21:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kibzaimu pamoja na mbuga zake za malisho na Beth-horoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kibsaimu na Beth-Horoni, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji minne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Kibisaumu pamoja na malisho yake, na Beth-horoni pamoja na malisho yake, miji minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kibzaimu pamoja na mbuga zake za malisho na Beth-horoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kibsaimu na Beth-Horoni, pamoja na sehemu zake za malisho; yote ilikuwa miji minne.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kibsaimu na Beth-Horoni, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Kibisaumu pamoja na mbuga zake za malisho, na Beth-horoni pamoja na mbuga zake za malisho, miji minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kibzaimu pamoja na mbuga zake za malisho na Beth-horoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Kibusaimu pamoja na malisho yake na Beti-Horoni pamoja na malisho yake, ndio miji 4.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Kibisaumu pamoja na malisho yake, na Beth-horoni pamoja na malisho yake, miji minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kibusaimu pamoja na mbuga zake za malisho na Beti-Horoni pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni mine.