Joshua 21:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika eneo la kabila la Dani walipewa Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia kutoka kabila la Dani, wakapokea: Elteke, Gibethoni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena katika kabila ya Dani Elteke pamoja na malisho yake, na Gibethoni pamoja na malisho yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika eneo la kabila la Dani walipewa Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia kutoka kabila la Dani wakapokea Elteke, Gibethoni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia kutoka kabila la Dani wakapokea Elteke, Gibethoni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena katika kabila la Dani Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, na Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika eneo la kabila la Dani walipewa Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, Gibethoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kwa shina la Dani: Elteke pamoja na malisho yake na Gibetoni pamoja na malisho yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena katika kabila ya Dani Elteke pamoja na malisho yake, na Gibethoni pamoja na malisho yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika eneo la kabila la Dani walipewa Elteke pamoja na mbuga zake za malisho, Gibetoni pamoja na mbuga zake za malisho,