Joshua 21:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika eneo la nusu ya kabila la Manase walipewa Taanaki pamoja na mbuga zake za malisho na Gath-rimoni pamoja na malisho yake. Jumla ya miji waliyopewa ni miwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka nusu ya kabila la Manase, wakapokea: Taanaki na Gath-Rimoni pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji miwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena katika hiyo nusu ya kabila ya Manase, Taanaki pamoja na malisho yake, na Gath-rimoni pamoja na malisho yake; miji miwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika eneo la nusu ya kabila la Manase walipewa Taanaki pamoja na mbuga zake za malisho na Gath-rimoni pamoja na malisho yake. Jumla ya miji waliyopewa ni miwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka katika nusu ya kabila la Manase, wakapokea Taanaki na Gath-Rimoni; yote miji miwili pamoja na sehemu zake za malisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka nusu ya kabila la Manase, wakapokea Taanaki na Gath-Rimoni pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji miwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena katika hiyo nusu ya kabila la Manase, Taanaki pamoja na mbuga zake za malisho, na Gath-rimoni pamoja na mbuga zake za malisho; miji miwili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika eneo la nusu ya kabila la Manase walipewa Taanaki pamoja na mbuga zake za malisho na Gath-rimoni pamoja na malisho yake. Jumla ya miji waliyopewa ni miwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kwa nusu ya shina la Manase: Taanaki pamoja na malisho yake na Gati-Rimoni pamoja na malisho yake, ndio miji 2.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena katika hiyo nusu ya kabila ya Manase, Taanaki pamoja na malisho yake, na Gath-rimoni pamoja na malisho yake; miji miwili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika eneo la nusu ya kabila la Manase walipewa Tanaki pamoja na mbuga zake za malisho na Gati-Rimoni pamoja na malisho yake. Jumla ya miji waliyopewa ni miwili.