Joshua 21:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, miji ambayo walipewa jamaa za Kohathi zilizosalia ilikuwa kumi pamoja na mbuga zao za malisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji hii kumi, na maeneo ya malisho ya kila mji, ilipewa koo za Wakohathi zilizobaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miji yote ya jamaa za wana wa Kohathi waliosalia ilikuwa ni miji kumi, pamoja na malisho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, miji ambayo walipewa jamaa za Kohathi zilizosalia ilikuwa kumi pamoja na mbuga zao za malisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji yote hii kumi pamoja na sehemu zake za malisho ilipewa koo za Wakohathi zilizobaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji yote hii kumi pamoja na sehemu zake za malisho ilipewa koo za Wakohathi zilizobaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miji yote ya jamaa za wana wa Kohathi waliosalia ilikuwa ni miji kumi, pamoja na mbuga zake za malisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, miji ambayo walipewa jamaa za Kohathi zilizosalia ilikuwa kumi pamoja na mbuga zao za malisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji yote ilikuwa 10 pamoja na malisho yao ya kuzigawanyia koo za wana wa Kehati waliosalia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miji yote ya jamaa za wana wa Kohathi waliosalia ilikuwa ni miji kumi, pamoja na malisho yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, miji ambayo walipewa watu wa ukoo wa Kohati iliyobaki ilikuwa kumi pamoja na mbuga zao za malisho.