Joshua 21:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yarmuthi pamoja na mbuga zake za malisho na En-ganimu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yarmuthi na En-Ganimu, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji minne;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Yarmuthi pamoja na malisho yake, na Enganimu pamoja na malisho yake; miji minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yarmuthi pamoja na mbuga zake za malisho na En-ganimu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yermuthi na En-Ganimu, yote miji minne pamoja na sehemu zake za malisho;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yarmuthi na En-Ganimu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Yarmuthi pamoja na mbuga zake za malisho, na Enganimu pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yarmuthi pamoja na mbuga zake za malisho na En-ganimu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yarmuti pamoja na malisho yake na Eni-Ganimu pamoja na malisho yake, ndio miji 4.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Yarmuthi pamoja na malisho yake, na Enganimu pamoja na malisho yake; miji minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yarmuti pamoja na mbuga zake za malisho na Eni-Ganimu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni mine.