Joshua 21:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika eneo la kabila la Asheri walipewa Mishali pamoja na mbuga zake za malisho, Abdoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kutoka kabila la Asheri, walipewa: Mishali, Abdoni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena katika kabila ya Asheri, Mishali pamoja na malisho yake, na Abdoni pamoja na malisho yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika eneo la kabila la Asheri walipewa Mishali pamoja na mbuga zake za malisho, Abdoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kutoka kabila la Asheri walipewa, Mishali, Abdoni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kutoka kabila la Asheri walipewa, Mishali, Abdoni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena katika kabila la Asheri, Mishali pamoja na mbuga zake za malisho, na Abdoni pamoja na mbuga zake za malisho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika eneo la kabila la Asheri walipewa Mishali pamoja na mbuga zake za malisho, Abdoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kwa shina la Aseri: Misali pamoja na malisho yake na Abudoni pamoja na malisho yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena katika kabila ya Asheri, Mishali pamoja na malisho yake, na Abdoni pamoja na malisho yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika eneo la kabila la Aseri walipewa Misali pamoja na mbuga zake za malisho, Abudoni pamoja na mbuga zake za malisho,