Joshua 21:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Helkathi pamoja na mbuga zake za malisho na Rehobu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Helkathi na Rehobu, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji minne.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Helkathi pamoja na malisho yake, na Rehobu pamoja na malisho yake; miji minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Helkathi pamoja na mbuga zake za malisho na Rehobu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Helkathi na Rehobu, yote miji minne pamoja na sehemu zake za malisho;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Helkathi na Rehobu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Helkathi pamoja na mbuga zake za malisho, na Rehobu pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Helkathi pamoja na mbuga zake za malisho na Rehobu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni minne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Helkati pamoja na malisho yake na Rehobu pamoja na malisho yake, ndio miji 4.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Helkathi pamoja na malisho yake, na Rehobu pamoja na malisho yake; miji minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Helkati pamoja na mbuga zake za malisho na Rehobu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni mine.