Joshua 21:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jumla ya miji ya jamaa mbalimbali za ukoo wa Gershoni ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji yote ya koo za Wagershoni ilikuwa kumi na tatu, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miji yote ya Wagershoni kwa kuandama jamaa zao ilikuwa ni miji kumi na mitatu, pamoja na malisho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jumla ya miji ya jamaa mbalimbali za ukoo wa Gershoni ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jumla yote ya miji ya koo za Wagerishoni ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji yote ya koo za Wagershoni ilikuwa kumi na mitatu, pamoja na sehemu zake za malisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miji yote ya Wagershoni kwa kufuata jamaa zao ilikuwa ni miji kumi na mitatu, pamoja na mbuga zake za malisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jumla ya miji ya jamaa mbalimbali za ukoo wa Gershoni ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji yote, Wagersoni waliyozipatia koo zao, ilikuwa miji 13 pamoja na malisho yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miji yote ya Wagershoni kwa kuandama jamaa zao ilikuwa ni miji kumi na mitatu, pamoja na malisho yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jumla ya miji ya jamaa mbalimbali za ukoo wa Gersoni ilikuwa kumi na mitatu pamoja na mbuga zao za malisho.