Joshua 21:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walawi wengine waliobaki, yaani wazawa wa Merari, walipewa miji katika eneo la kabila la Zebuluni. Nayo ni Yokneamu pamoja na mbuga zake za malisho, Karta pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Koo za Wamerari (Walawi waliobaki) walipewa: kutoka kabila la Zabuloni: Yokneamu, Karta,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena jamaa za wana wa Merari, hao Walawi waliosalia, katika kabila ya Zabuloni, Yokneamu pamoja na malisho yake, na Karta pamoja na malisho yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walawi wengine waliobaki, yaani wazawa wa Merari, walipewa miji katika eneo la kabila la Zebuluni. Nayo ni Yokneamu pamoja na mbuga zake za malisho, Karta pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Koo za Wamerari (waliobaki wa Walawi) walipewa: kutoka katika kabila la Zabuloni, Yokneamu, Karta,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Koo za Wamerari (Walawi waliobaki) walipewa: kutoka kabila la Zabuloni, Yokneamu, Karta,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena jamaa za wana wa Merari, hao Walawi waliosalia, katika kabila la Zabuloni, Yokneamu pamoja na mbuga zake za malisho, na Karta pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walawi wengine waliobaki, yaani wazawa wa Merari, walipewa miji katika eneo la kabila la Zebuluni. Nayo ni Yokneamu pamoja na mbuga zake za malisho, Karta pamoja na mbuga zake za malisho,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo koo za wana wa Merari, ndio Walawi waliosalia, walipata kwa shina la Zebuluni: Yokinamu pamoja na malisho yake, Karta pamoja na malisho yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena jamaa za wana wa Merari, hao Walawi waliosalia, katika kabila ya Zabuloni, Yokneamu pamoja na malisho yake, na Karta pamoja na malisho yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walawi wengine waliobaki, ni kusema wazao wa Merari, walipewa miji katika eneo la kabila la Zebuluni. Nayo ni Yokinamu pamoja na mbuga zake za malisho, Karta pamoja na mbuga zake za malisho,