Joshua 21:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dimna pamoja na mbuga zake za malisho na Nahalali pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dimna na Nahalali, pamoja na maeneo ya malisho ya kila mji: miji minne;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Dimna pamoja na malisho yake, na Nahalali pamoja na malisho yake; miji minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dimna pamoja na mbuga zake za malisho na Nahalali pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dimna na Nahalali, miji minne pamoja na sehemu zake za malisho;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dimna na Nahalali, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Dimna pamoja na mbuga zake za malisho, na Nahalali pamoja na mbuga zake za malisho; miji minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dimna pamoja na mbuga zake za malisho na Nahalali pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla miji minne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dimuna pamoja na malisho yake, Nahalali pamoja na malisho yake, ndio miji 4.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Dimna pamoja na malisho yake, na Nahalali pamoja na malisho yake; miji minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Dimuna pamoja na mbuga zake za malisho na Nahalali pamoja na mbuga zake za malisho. Kwa jumla, miji mine.